1 Wakorintho 9:16-23 - 10-10-2026
Uhuru wa mkristo. {Somo na Heri Buberwa}

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 04 OKTOBA, 2026
SIKU YA BWANA YA 18 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI:
“ UHURU WA MKRISTO’’
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 27/09/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa
hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO: