Kumbukumbu la Torati 30:19-20 - 28-09-2024
Uchaguzi wako ndio maisha yako./ Heri Buberwa.

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 22 SEPTEMBA, 2024
SIKU YA BWANA YA 17 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI
UCHAGUZI WAKO NDIYO MAISHA YAKO
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 15/09/2024
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.