July 2026
Ezra 10:11-12 - 30-07-2026
Waebrania 12:5-11 - 29-07-2026
Ezekiel 33:10-12 - 28-07-2026
Matangazo ya usharika Tarehe 26 Julai 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 26 JULAI, 2026 SIKU YA BWANA YA 8 BAADA YA UTATU.
NENO LINALOTUONGOZA NI:
“MUNGU HUPENDEZWA NA MOYO WA TOBA”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni:hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 19/07/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
1 Samweli 12:20-25 - 27-07-2026
Luka 19:1-9 - 26-07-2026
1 Wafalme 17:10-16 - 25-07-2026
Mithali 14:19 - 24-07-2026
Zaburi 107:33-43 - 23-07-2026
Wakolosai 2:18-19 - 21-07-2026
Kutoka 33:12-17 - 19-07-2026
Matangazo ya usharika tarehe 19 Julai 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 19 JULAI, 2026
SIKU YA BWANA YA 7 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI:
“NEEMA YA MUNGU YATOSHA”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni:hakuna mgeni aliyetufikia na cheti: Kama kuna wageni ambao ni mara yao ya kwanza kushiriki nasi wasimame ili tuwakaribishe.
3. Matoleo ya Tarehe 12/07/2026
