Matangazo ya usharika ya tarehe 20 Septemba 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 20 SEPTEMBA, 2026
SIKU YA BWANA YA 16 BAADA YA UTATU NENO LINALOTUONGOZA NI:
“MUNGU AMEJAA HURUMA”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 13/09/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
