VIDEOS

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL

Matangazo ya usharika ya tarehe 4 Octoba 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA  TAREHE 04 OKTOBA, 2026

SIKU YA BWANA YA 18 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA  NI:

   “ UHURU WA MKRISTO’’

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 27/09/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa

hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO: