Daily Words
In the church we need people with different gifts and abilities. Each one is important. Let us pray for one another and work together in harmony for the common good. Katika kanisa tunao watu wenye vipawa na huduma mbalimbali. Sote ni muhimu. Tufanyakazi pamoja kwa kushirikiana. {By Pr. Chuwa}
Are we are truly loving and obeying God? Je tunampenda Mungu kwa dhati na kufuata amri zake? {By Pr. P Chuwa}
The book of Proverbs is a good source of guidance of life that is successful and pleasing to God. Kitabu cha Methali ni chanzo kizuri cha mwongozo wa maisha ya mafanikio na yanayompendeza Mungu. {By Pr P Chuwa}
Let us be faithful in obeying God’s laws and giving our offerings and tithes to Him.. Tunapaswa kuwa waaminifu katika kumtolea Mungu zaka na sadaka. {By Pr. P Chuwa}
Its good to give good offerings to God...Ni vyema kumtolea Mungu vilivyo bora {By Pr. P. Chuwa}
Do we give our offerings willingly? Je tunamtolea Mungu kwa moyo wa kupenda? {By Pr. P. Chuwa}
Use your God given talents to serve others..Tumia karama ulizojaliwa na Mungu kubariki wengine. {By Pr. P Chuwa}
It pleases God when we share our blessings with others....Inampendeza Mungu tukitumia alivyotupa kubariki wengine.
Christians are called to work hard and to support their own lives. Wakristo wanaaswa kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea.
We are all brothers and sisters in Jesus Christ...Sote tu ndugu katika Yesu Kristo
