Daily Words

Even though we rebel against God, HE still wan'ts to reconciliation..Mungu anatutafuta tutubu na kumrudia japo tunamwaasi mara kwa mara. {By Pr. P Chuwa}
Confess and repent your sins and live to please God...Tubu dhambi zako na acha dhambi na uishi maisha ya kumpendeza Mungu. {By Pr. P Chuwa}
God is patient and Just..Mungu ni mwenye subira na haki..{By Pr. P. Chuwa}
Let us not wait to repent. As soon as you realize that you have sinned turn to God in repentance...Toba ni muhimu sana katika maisha yetu. Kila wakati uponaguswa kwamba umetenda dhambi tubu na uache...{By Pr P Chuwa}
We cannot earn our salvation by works but only by trusting in Jesus Christ as our Lord and savior ..Hatuokolewi kwa njia ya matendo yetu bali kwa imani katika Yesu Kristo..{By Pr. P Chuwa}
Do you believe in Jesus Christ as you Lord and saviour?...Je unamwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako? {By Pr. P Chuwa}
We are saved by God's Grace...Tunaokolewa kwa neema ya Mungu tu..{By Pr. P Chuwa}
God is patient with us and does not want anyone to perish..Mungu ni mwenye subira na huruma kwetu, hapendi hata mmoja aangamie..{ By Pr. P Chuwa}
Learn to love God and our Spouses..Tukazane kumpenda Mungu na wenzi wetu. ..{By Pastor P Chuwa}
God is Love...Mungu ni pendo..{By Pr.P Chuwa}