Daily Words

Jesus Christ gave his life on the cross so we can be truly free...Yesu Kristo alitoa maisha yake msalabani ili tuwe huru kweli.
To be in Christ is to be truly free....Kuwa na Yesu nadni yako ni kuwa huru kweli kweli. { By Pr. Mwaipopo}
Begin and end everything with God...Anza na maliza kila kitu na Mungu. {By Pr. Mwaipopo}
Parents and guardians have to lend their children to God as long as they live...ni wajibu wa wazazi na walezi kuwaachilia watoto wao ili Mungu awatumie wakati wa uhai wao wote. {By Pr. Mwaipopo}
God's guidance is required in nurturing our children in righteousness. Tunahitaji msaada wa Mungu kuwalea watoto wetu katika njia ipasayo. {By C.Swai, Elder}
It is right for children to respect their parents...Ni haki watoto kuwaheshimu wazazi wao..{By C.Swai, Elder)
When God punishes his people, it's because he loves them. Mungu anapowaadhibu watu wake, ni kwa sababu anawapenda.
The word of God reminds us of the importance of education. ..Neno la Mungu linatukumbusha umuhimu wa elimu.
Listen to God's guidance through his word. Tufuate mwongozo wa Mungu wetu kupitia neno lake.
Our God is almighty. He is in all places and He knows all things. Mungu anajua kila kitu na anaona kila kitu. { By Pr. P Chuwa}