Daily Words
Jesus Heals a Man With Leprosy..Yesu anamponya mtu mwenye ukoma
True faith in God can move mountains .. Imani ya dhati katika Mungu wetu inatenda makuu.
We are Saved in Order to Do Good..Tumeokolewa ili kutenda mema.
God's love goes hand in hand with hard work. Upendo wa Mungu huenda sambamba na kufanya kazi kwa bidii. {By Pastor Mwaipopo}
Success and Health are the result of knowing God...Mafanikio na Afya ni Matokeo ya Kumjua Mungu. {By Pastor Mwaipopo}
By the Grace of our Lord Jesus Christ, our sins are forgiven..Kwa neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, tunasamehewa dhambi zetu.
Paul shows that the altar of God has set aside special sections for the priests and their ministers. Paulo anaonesha kwamba madhabahu ya Mungu imetenga fungu maalumu kwa ajili ya makuhani na wahudumu wao. {By Pastor Mwaipopo}
We have to keep all of God's commandments...Tuna wajibu wa kushika amri zote za Mungu {By Pastor Mwaipopo}
It is our responsibility to live a life of repentance...Ni wajibu wetu kuishi maisha ya toba. {By Pastor Mwaipopo}
The life of Christ needs to be interpreted by the word of Christ. ..Maisha ya mfuasi wa Kristo yanatakiwa kutawaliwa na neno la Kristo. {By Pr Mwaipopo}
