Daily Words
Pray for Jewish people to understand that Jesus Christ is the son of God who came to earth to save us...Tuwaombee Wayahudi waelewe kwamba Yesu ni Mesihi na ni mwana wa Mungu na ni mmoja na Mungu wao Yahweh. {By Pastor P Chuwa}
God loves the humble...Mungu anapenda watu wanyenyekevu. {By Pastor P Chuwa}
We are saved by Grace not by works. Tunaokolewa kwa Neema siyo kwa matendo. {By Pastor P Chuwa}
By the Grace of God we receive the gift of the Holy Spirit and many spiritual blessings...Tunaokolewa kwa neema na tunapewa Roho Mtakatifu na baraka nyingi kwa neema. {By Pastor P Chuwa)
We are saved by Grace. Tunaokolewa kwa neema. {By Pastor P. Chuwa}
May God help us to hear and understand and believe the truth and to live it out in our lives. Mungu atusaidie kusikiliza kwa maskio ya kawaida na ya kiroho. Tukiamini ukweli kuhusu Yesu na kuzingatia katika maisha yetu. {By Pastor P. Chuwa}
As Christians we are all parts of the same body united by Jesus Christ. Wakristo sote tu viungo vya mwili mmoja wa kanisa la Bwana wetu Yesu Kristo. {By Pastor P Chuwa}
We have been saved by faith in Jesus Christ. Tumeokolewa kwa neema ya Yesu Kristo.
God protects us by day and by night...Mungu anatulinda usiku na mchana. {By Pastor P. Chuwa}
Come to God frequently in prayer, and ask for his guidance. Njoo mbele za Bwana mara kwa mara kwa kuomba na kuomba akuongoze. {By Pastor Chuwa}
