VIDEOS

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL

Matangazo ya usharika ya tarehe 30 Agosti 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO            

   YA USHARIKA  TAREHE  30 AGOSTI, 2026 SIKU YA BWANA YA 13 BAADA YA UTATU NENO LINALOTUONGOZA NI:  

“TUMPENDE NA KUMJALI JIRANI WETU”

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 23/08/2026  

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.