July 2026

Matangazo ya usharika Tarehe 26 Julai 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA  TAREHE  26 JULAI, 2026 SIKU YA BWANA YA 8 BAADA YA UTATU.

NENO LINALOTUONGOZA  NI:

MUNGU HUPENDEZWA NA MOYO WA TOBA”

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni:hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 19/07/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

Matangazo ya usharika tarehe 19 Julai 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE  19 JULAI, 2026

SIKU YA BWANA YA 7 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA  NI:

NEEMA YA MUNGU YATOSHA”

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni:hakuna mgeni aliyetufikia na cheti: Kama kuna wageni ambao ni mara yao ya kwanza kushiriki nasi wasimame ili tuwakaribishe.

3. Matoleo ya Tarehe 12/07/2026