VIDEOS
Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
Azania Front Cathedral Newsletter - Issue #01 - #12
Mpendwa Msharika, pata nakala ya Kijarida cha Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral kuanzia toleo la kwanza na kuendelea. Pakua kijarida/vijarida kwa kubofya link ya toleo husika hapa chini.
AZF Kijarida #01(link is external) [April – June 2018}
1 Petro 5:5-7 - 29-08-2022
Mwanzo 6:12-22 - 25-08-2022
Esta 4:14-17 - 24-08-2022
Habakuki - 23-08-2022
Luka 4:38-43 - 22-08-2022
Matangazo ya Usharika tarehe 21 Agosti 2022
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 21 AGOSTI, 2022
NENO LINALOTUONGOZA JUMA HILI NI
TUTUMIE VIZURI NAFASI TULIYOPEWA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na vyeti.
3. Matoleo ya Tarehe 14/08/2022
4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
5. NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
