Daily Words
God can use anybody for his work. Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote kwa kazi yake..../Pastor J Mlaki
Let God be your strength in times of trouble. Mungu awe kimbilio lako wakati wa shida. ../Pastor J. Mlaki
God promises only to deliver us from our enemies. Mungu ameahidi kutuokoa dhidi ya adui zetu../Pastor J. Mlaki
God forgives His people. Mungu anasamehe watu wake..../Pastor J Mlaki
We are saved by the grace of God through faith in Jesus Christ. Tunaokolewa kwa neema ya Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo..../Pastor J.Mlaki
God has called us for the special purpose to accomplish His plan. Mungu ametuita kwa kusudi maalum ili kutimiza mpango wake..../Pastor J. Mlaki
God want's us to come directly to him with our needs. Mungu anataka tumwendee yeye moja kwa moja kwa mahitaji yetu. .../Pastor J. Mlaki
God is most glorified in us when we are most satisfied in Him. Mungu anatukuzwa zaidi ndani yetu pale tunapokuwa na utoshelevu ndani yake..../Pastor J. Mlaki
Trust God all the time. Mwamini Mungu kila wakati..... /Pastor J. Mlaki
God is the help and shield to those who trust in him. Mungu ni msaada na ngao kwa wale wanaomtumaini../Pastor J Mlaki
