Daily Words
We have been created to worship God. Tumeumbwa ili kumwabudu Mungu. ../Pastor J Mlaki.
How can we find hope in Life strugles? Tunawezaje kupata matumaini katika changamoto za maisha?... /Pastor J Mlaki
God is constantly loving and gracious..Mungu daima ni wa upendo, naye amejaa neema.../Pastor J. Mlaki
God's people need to Praise Him. Watu wa Mungu imewapasa kumtukuza Mungu. .../Pastor J Mlaki
The love of the world will drive us out of love for God. Tukiipenda dunia, kumpenda Mungu kutakuwa mbali nasi.../Pastor J. Mlaki
Christians must show signs of God’s work in their life. Maisha ya Wakristo wanapaswa kushuhudia kazi za Mungu. ../Pastor J Mlaki.
Jesus want's our hearts to be open and ready to receive the leadership of the Holy Spirit. Yesu anataka mioyo yetu iwe tayari kupokea uongozi wa Roho Mtakatifu.../Pastor J. Mlaki
As long as we have breath, we can return to the LORD...Wakati tungali bado na uhai, tunaweza kumrudia Bwana../Pastor J. Mlaki
We can do all things through Christ who strengthens us. Tunayaweza mambo yote katika Kristo atutiaye nguvu..../Pastor J Mlaki
God protects those who put their trust in Him. Mungu huweka ulinzi kwa wale wanaomwamini.../Pastor J. Mlaki
