Daily Words

We have to become students of the Word and faithful in prayer. Tunapaswa kuwa wanafunzi wa neno na waaminifu katika kuomba. ../Pastor J Mlaki
The result of sin and unbelief in others will fall on us if we do not warn them..Matokeo ya dhambi na kutoamini kwa wengine yatakuwa juu yetu ikiwa hatutachukua nafasi kuwaonya.../Pastor J Mlaki
God is our shield and guard. Mungu ni ngao na mlinzi wetu.../Pastor J Mlaki.
Fighting a good war means persevering in the faith. Kuvipiga vita vizuri ni kuvumilia na kudumu katika imani..?Pastor J Mlaki
God punishes his people for disobedience. Mungu huwaadhibu watu wake pale wanapoziacha njia zake.../Pastor J. Mlaki.
Be good witnesses to what God had done for you. Uwe shaidi mwema wa mambo Mungu aliyokutendea.../Pastor J.Mlaki.
God can make a way where there seems to be no way. Mungu anaweza kutengeneza njia pasipo naa../Pastor J. Mlaki.
Knowing the greatness and Power of God, brings us closer to him. Kujua ukuu na nguvu za Mungu kunatuleta karibu zaidi naye. ../Pastor J. Mlaki
We have to pursue with love, self-sacrificial service to others. Basi tufuate kwa upendo ili kupata karama ile ya kujitoa kwa ajili ya wengine.../Pastor J. Mlaki
Honour the word of God by obeying it. Heshimu neno la Mungu kwa kulitii..../Pastor J. Mlaki