Daily Words
Salvation is by grace through faith. Wokovu ni kwa neema, kwa njia ya imani. {Pastor J Mlaki}
Wait for the Lord while serving him. Umngojee Bwana huku ukimtumikia. {Pastor J Mlaki}
Trust God in all things. Mwamini Mungu katika vitu vyote. {Pastor J. Mlaki}
Sinners cannot flee from God's justice because He is omnipresent. Wenye dhambi hawawezi kuikimbia haki ya Mungu, kwa sababu yeye yuko mahali pote. { Pastor J Mlaki}
As Christians, we are to live in constant fellowship with God. Wakristo, tunapaswa kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu. {Pastor J Mlaki}
God satisfies needs that cannot be satisfied anywhere else. Mungu hutosheleza mahitaji yale ambayo hakuna mwingine anayeweza kufanya hivyo popote. {Pastor J Mlaki}
Those who accept the message of Jesus Christ find themselves against the forces of darkness. Wale wanaoipokea habari njema ya Yesu Kristo wanakuwa katika upinzani dhidi ya nguvu za giza. {Pastor J Mlaki}
Both prayer and service are essential. Maombi na huduma vinakwenda pamoja. {Pastor J Mlaki}
Live in order to please God, Ishi kwa kumpendeza Mungu. { Pastor J Mlaki}
We don’t need to be perfect to serve the Lord. Hatuhitaji kuwa wakamilifu ili kumtumikia Mungu. {Pastor J Mlaki}
