Daily Words

Bwana anakuja katika ufalme wake. /Heri Buberwa.
Mungu anatuita kumcha yeye. /Heri Buberwa
Neno la Mungu ndiyo kweli idumuyo milele. The Word of God is the eternal truth. /Heri Buberwa.
Chukua hatua ya imani kuuendea uzima wa milele ukiishi kwa kumpendeza Mungu. /Heri Buberwa.
Jihadhari na kuyumbishwa na manabii wa uongo, mtazame Yesu Kristo tu. /Heri Buberwa.
Bwana analijia Kanisa lake. /Heri Buberwa
Mawazo yetu yatuuongoze vyema ili tuweze kuufikia uzima wa milele. /Heri Buberwa
Ni ahadi ya Mungu kutukomboa na kuturudisha kwake. /Heri Buberwa
Bwana atabariki wenye haki. /Heri Buberwa
Mungu atakayetupokea uzimani ndie atupae neema ya kumfuata kwa ukamilifu. /Heri Buberwa.