Daily Words

Waliomngojea mwokozi wamwona. /Heri Buberwa.
Tunaitwa kuwa mashahidi waaminifu wa Yesu. /Heri Buberwa.
Tunaitwa kuwa mashahidi waaminifu wa Yesu. /Heri Buberwa.
Tunaitwa kumpokea Yesu aliyezaliwa kwa ajili yetu. ./Heri Buberwa
Uwe shahidi mwaminifu wa Yesu./Heri Buberwa.
Yesu Kristo amezaliwa kwa ajili yetu. /Heri Buberwa
Ahadi za Mungu ni kweli, Yesu atarudi tena kama mfalme. /Heri Buberwa.
Umejiandaa vipi ili Yesu akirudi asikuache? /Heri Buberwa.
Yesu atarudi kulichukua kanisa lake./Heri Buberwa.
Bwana yu karibu./Heri Buberwa.