Daily Words

Tumtegemee Mungu katika hali zote. / Heri Buberwa.
Mungu hutakasa nyumba zetu. /Heri Buberwa.
Kuishi na kufa kwetu ni katika Bwana... /Heri Buberwa
Bwana hatawaacha watu wake.. /Heri Buberwa
Tuwalete watu kwa Yesu wabatizwe, wafanyike kuwa wana wa Mungu..../Heri Buberwa.
Wabatizwao, ndio wana wa Mungu. /Heri Buberwa.
Yesu ni nuru ya ulimwengu. /Heri Buberwa.
Bwana atarudi kwa kuhukumu ya mataifa. /Heri Buberwa
Tuendelee kumngoja Yesu kwa imani. /Heri Buberwa.
Tudumu katika Bwana Yesu, ili tuwe imara. /Heri Buberwa.