VIDEOS
Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
Matangazo ya Usharika tarehe 24 Disemba 2023
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 24 DISEMBA, 2023
SIKU YA BWANA YA 4 KATIKA MAJILIO
NENO LINALOTUONGOZA NI
BWANA YU KARIBU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 17/12/2023
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
1 Timotheo 1:12-17 - 27-12-2023
Luka 1:56-57 - 23-12-2023
Zekaria 3:1-17 - 21-12-2023
1 Wakorintho 9:16-23 - 20-12-2023
Luka 3:1-3 - 19-12-2023
Yohana 1:15-18 - 18-12-2023
2 Wakorintho 10:12-18 - 16-12-2023
Isaya 59:16-21 - 14-12-2023
Ufunuo 22:6-9 - 12-12-2023
Isaya 11:10 - 11-12-2023
Matangazo ya Usharika tarehe 10/12/2023
MATANGAZO YA USHARIKA
LEO TAREHE 10 DISEMBA, 2023
SIKU YA BWANA YA 2 KATIKA MAJILIO
NENO LINALOTUONGOZA NI
YESU ANAKUJA KATIKA UTUKUFU WAKE
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 03/12/2023
4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
