Mwanzo 28:16-22 - 31-01-2023
Kung'aa kwa Yesu./ Heri Buberwa.

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
MATANGAZO YA USHARIKA, TAREHE 22 JANUARI, 2023
NENO LINALOTUONGOZA NI: YESU ANAONDOA UBAGUZI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.