Philippians 4:14-20 (Wafilipi 4:14-20) - 14-07-2018
Be generous in your giving. Toa kwa ukarimu. {Pastor P Chuwa}

Vijana 7 wa usharika wa Azaniafront wamesafiri kwenda Frondenberg Ujerumani katika ziara ya mafunzo kuanzia tarehe 6/7/2018 hadi tarehe 21/07/2018. Ziara hiyo iko katika mahusiano ya muda mrefu ambapo kila baada ya miaka 2 vijana hutembeleana toka pande zote 2. Wameongozana na Chaplain Mzinga na Mzee Bertha Semu-somi ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya uhusiano.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 08 JULAI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI 'UPENDO WA MUNGU NA UTAWALE'
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Wageni waliotufikia na cheti ni Simon Tweve – toka kanisala Anglikana - Kongowe
"KUISHI KWA FAIDA NDANI YA KANISA, FAMILIA NA JAMII INAYOTUZUNGUKA" Luka 13:16-19