Matangazo ya Jumapili Tarehe 1/07/2018
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 01 JULAI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI 'KIJANA MKRISTO NA MAISHA YA USHUHUDA'
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti.
