Vijana 13 Wapata Kipaimara
Vijana ambao walikuwa wanafunzi wa Sunday school, siku ya Jumamosi tarehe 21.11.2015 walibarikiwa rasmi kuanza kuhudhuria ibada ya watu wazima baada ya kufuzu mafunzo ya kipaimara.

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI UENYEJI WA MBINGUNI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliotufikia na Cheti.
Kama kuna wageni wengine walioshiriki nasi kwa mara ya kwanza wasimame na wajitambulishe tuweze kuwakaribisha.