Uzinduzi wa Baraza la Wazee 2018

Jumapili ya tarehe 2/9/2018, Askofu Malasusa aliwabariki na kuwaingiza rasmi kazini wazee wa baraza kwa kipindi cha 2018-2022.  Aidha katika ibada ya asubuhi viongozi wote wa vikundi walibarikiwa na kuingizwa rasmi kazini.