Daily Words

Through the death and resurrection of Jesus our sins can be forgiven and we can have peace with God...Kupitia kifo na kufufuka wa Yesu Kristo, tunaweza kuokolewa...{By Pastor P. Chuwa}
God will hear our prayers. He will have compassion upon us..Mungu ni mwenye huruma. Mungu anatujali na anasikiliza maombi yetu. {By Pastor P. Chuwa}
Through the death and resurrection of Jesus Christ we have free access to God...Kwa njia ya Kufa na Kufufuka kwake Yesu Kristo, alifungulia njia ya kumkaribia Mungu. {By Pastor P.Chuwa}
Many people have tried to disprove the resurrection of Jesus Christ. But there is much strong evidence that it is true...Mpaka leo watu wengi wanakanusha ukweli wa ufufuo. Lakini kuna ushahidi wa kutosha kwamba Yesu ndiye alifufuka kama mshindi. {By Pastor Chuwa}
Let us continue to trust in God every day. ..Tuendelea kumtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. {By Pastor P Chuwa}
Let us trust in God everyday. Tuendelee kumtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yetu.
Because Jesus rose again we who believe in Him will also rise again to Eternal Life..Na sisi ambao tunamtegemea tutakuwa washindi pia. Tutafufuka na kuishi maisha ya Milele mbinguni..{By Pastor P. Chuwa}
The message of the Gospel is very demanding. Will you follow Christ even when it is hard to do so? Sisi je! Tunatafuta ukweli au tunahitaji unafuu wa maisha ? Utamfuata Yesu hata kama ni ngumu? {By Pastor P. Chuwa}
But Christ’s death once on the cross was sufficient to atone for the sins of the whole world..Yesu alikufa mara mmoja, na sadaka ya maisha yake ilitosha kulipa deni la dhambi ya watu wote ulimwenguni..{By Pastor P. Chuwa}
Think again about the wonderful message of Easter and trust in Jesus...Tafakari tena kuhusu ujumbe mzuri wa Pasaka na ukabidhi maisha yako kwa Yesu..{By Pastor P. Chuwa}