Daily Words
JUBILATE - NEW LIFE IN CHRIST..MSHANGILIENI BWANA -MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO..{By Elder S. Jengo}
JESUS IS A GOOD SHEPHERD- COMMITTED TO HIS PROMISES ..YESU NI MCHUNGAJI MWEMA - HUTIMIZA AHADI ZAKE..{By Elder S. Jengo}
Jesus is the good shepherd, the good shepherd who gives His life for his people. ..Yesu ni mchungaji mwema, Mchungaji mwema anayeutoa uhai wake kwa ajili ya watu wake. ..{By Elder S. Jengo}
There is hope for the hopeless and cover for the naked. God can still do something for the hopeless situation you are going through...Kuna msaada kwa wahitaji na kinga kwa wanaopigwa..{By Elder S. Jengo}
Jesus wanted His disciples to understand that He truly was risen from the dead. ..Yesu alitaka wanafunzi kuwa na uhakika kwamba yu hai na alifufuka kweli..{By Pastor P Chuwa}
Do we really understand who Jesus is? Wewe Je! Unamwelewa Yesu vizuri? Ni nani kwako? {By Pastor P. Chuwa}
Praise the Lord Jesus is risen. We who trust in Him will live forever in heaven...Yesu Kristo kweli alifufuka, na sisi ambao tunamtegemea tutafufuka na kuishi maisha ya milele mbinguni. {By Pastor P. Chuwa}
God calls different people to fulfill His purposes. Mungu anawaita watu mbalimbali kila mtu kwa wakati wake na kwa nafasi yake. {By Pastor P. Chuwa}
Let us not take sin lightly. Let us turn from evil. .Tusifikiri Mungu haoni dhambi. Tuache maovu na tuwe na matendo mema...{By Pastor P. Chuwa}
We have not seen Him with our physical eyes but we believe. Jesus says we are blessed...Sisi tunamwamini Yesu Kristo bila kumwona kwa macho ya binadamu.Yesu anasema tuna heri. {By Pastor P. Chuwa}
