Daily Words
Today, if you hear his voice, do not harden your hearts. Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye mioyo yenu kuwa migumu. {Elder C Swai)
Jesus came to save us from our sins. Yesu alikuja kutukomboa kutoka katika dhambi. {Elder C. Swai}
We are saved by the Grace of God. Tunaokolewa kwa neema ya Mungu. {Elder C. Swai}
How much Good seed has been sown in your life? Has it grown to produce good fruits? Je, mbegu ngapi nzuri zimepandwa katika maisha yako? Je! zimekua na kuzaa matunda mema? {Pastor P Chuwa}
Give God the honour and worship which He alone deserves. Mpe Mungu heshima na utukufu ambao yeye pekee anastahili. { Pastor P Chuwa}
We should not be afraid of witchcraft but refuse all evil powers in the name of Jesus Christ. Tusiogope uchawi. Mungu ananguvu zaidi kuliko shetani na wachawi na nguvu zote za giza. Tumawamini na tumtegemee Yesu Kristo tu. {Pastor P Chuwa}
Let us not be rebellious but be ready to repent our sins and obey God. Tusiwe waasi bali tuwe tarari kutubu dhambi zetu na kumtii Mungu. {Pastor P. Chuwa}
As Christians we are also God’s special to God. Jesus died to save us from our sins. Wakristo pia ni wamechaguliwa na Mungu. Yesu alikufa ili atuokoe na dhambi zetu. {Pastor P. Chuwa}
Let us not play with sin but rather strive to be Holy like Jesus Christ. Tunapaswa kuchukia dhambi na kutafuta kuwa watakatifu kama Yesu Kristo. {Pastor P. Chuwa}
Yesu
