Daily Words
Believe in Jesus as Master and saviour your life. Mwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. {Pastor P Chuwa}
Have you trusted in Jesus Christ as your Lord and Saviour? Umemwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wako? {Pastor P Chuwa}
God help us to truly understand the meaning of Christ’s death and resurrection. Mungu atusaidie tuelewe zaidi kuhusu maana ya Kifo na kufuka kwa Yesu Kristo. {Pastor P Chuwa}
God is greater than all our problems. Mungu ni mkuu kuliko matatizo yetu yote {Pastor P Chuwa}
Let us praise and worship God for our great salvation. Tumsifu Mungu kwa wokovu wetu. {Pastor P Chuwa}
We are reconciled with God through Jesus Christ. Tunapatanishwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo. {Pastor P Chuwa}
Let us not take sin lightly. {Pastor Chuwa}
Jesus is the peace maker {Pastor P. Chuwa}
In hard times look to God for comfort. Ukiwa na wakati mgumu, mtazame Mungu kwa faraja ya kweli.
Jesus suffered and died on the cross for our sins. Yesu aliteswa na kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu. {Pastor P Chuwa}
