Ephesians 4:23 (Waefeso 4:23) - 11-06-2018
Renewed in the spirit.. Kuhuishwa kiroho {Elder S Jengo}

MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 10 JUNI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI 'WITO WA KUINGIA UFALME WA MUNGU'
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti.
3. Alhamisi ijayo tarehe 14/06/2018 kutakuwa na kipindi cha maombi na maombezi yatakayoanza saa 11.30 jioni. Wote mnakaribishwa.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 03 JUNI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI MUNGU AU ULIMWENGU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Wageni waliotufikia na cheti ni