Daily Words
Jesus is the light of the world, with him within, you will not walk in the dark. Yesu ni nuru ya ulimwengu, akiwa ndani yako, hutatembea gizani. {Pastor P. Chuwa}
Pray that God gives you the patience to wait for his promise. Omba Mungu akupe subira ukingoja ahadi zake. {Elder C. Swai}
To trust and obey God, you need the help of the Holy Spirit. Kuwa na Imani na utii kwa Mungu, unahitaji msaada wa Roho Mtakatifu. {Pastor P. Chuwa}
Many are invited, but few are chosen in the Kingdom of God. Wengi wamekaribishwa lakini wachache wamechaguliwa katika Ufalme wa Mungu. {Pastor P. Chuwa}
Seek wisdom through the word of God. Tafuta hekima kupitia neno la Mungu. {Pastor P Chuwa}
Trust Jesus fully. Mwamini Yesu bila mashaka yoyote. {Pastor P. Chuwa}
Pray that God opens your eyes to see the truth...Omba Mungu akufungue macho yako ya kiroho uone ukweli. {Pastor P. Chuwa}
Thank God for all the many blessings received. Mshukuru Mungu kwa baraka nyingi unazopokea kutoka kwake. {Pastor P Chuwa}
Jesus is Son of God with all authority..Yesu ni Mwana wa Mungu mwenye mamlaka yote. {Elder C. Swai}
We are responsible to care for children.. Tunawajibika kutunza watoto. {Pastor P. Chuwa}
