Daily Words

We are called to act in Justice and Mercy. Tunaitwa kutenda haki na huruma. {Pastor P Chuwa}
Remember to commit all our work into God’s hands. Kumbuka kukabidhi kazi zako zote kwa Mungu. {Pastor P Chuwa}
Let us be faithful to God and obey His commandments. Tuwe waaminifu kwa Mungu na tutii amri zake. {Pastor P Chuwa}
Put God first before your plans. Mtangulize Mungu katika mipango yako. {Pastor P Chuwa}
Seek First the Kingdom of God and His righteousness. Tutafute kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake. {Pastor P Chuwa}
Seek first the Kingdom of God. Tafuta kwanza Ufalme wa Mungu. {Pastor P Chuwa}
Let us trust in Jesus as our Lord and Saviour. Tumtegemee Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu. {Pastor P Chuwa}
What are our priorities in life? Nini kipaombele cha maisha yako? {Pastor P Chuwa}
Let us be peace makers. Tuwe watu wa kuleta amani. {Pastor P Chuwa}
Let us do our best to be peacemakers. Tujitahidi zaidi kuwa mpatanishi. {Pastor P Chuwa}