Daily Words

Yesu ameshinda Kifo. /Heri Buberwa
It is a wonderful thing to wait on the Lord, and to see Him bring His salvation. Ni jambo jema kumngoja Bwana, na kuona akileta wokovu wake. /Pastor J. Mlaki
The alienation of the soul from God is a state of death. Nafsi iliyotengwa na Mungu ipo katika hali ya kufa. /Pastor J. Mlaki
Yesu alikufa msalabani ili tuokolewe. Jesus Christ died on the cross so we may be saved.../Heri Buberwa
God is with you no matter what happens in your life. Mungu yuko pamoja nawe katika hali zote. /Pastor J Mlaki
Tembea na Yesu aliyefufuka. Walk with the risen Jesus./Heri Buberwa
Yesu aliteswa kwa ajili yetu. Jesus suffered for our sake./Heri Buberwa
Aliteswa na kufa kwa ajili yetu. He suffered and died for us../Heri Buberwa
The Lord’s Supper shows the sacrifice that Jesus made for us...Meza ya Bwana inaonyesha dhabihu ambayo Yesu alifanya kwa ajili yetu.../ Pastor J.Mlaki
Yesu Kristo ni Bwana. Jesus Christ is Lord.../Heri Buberwa