Daily Words

The Lord Jesus Christ wants His people to be united. Bwana Yesu Kristo anataka watu wake waishi katika umoja. /Pastor J. Mlaki.
God desires His people to love each other and walk in harmony. Mungu anapenda watu wake wapendane na kuenenda katika umoja. /Pastor J Mlaki.
Uwe tayari kwa kuja kwa ufalme wa Mungu. Be ready for the coming of the kingdom of God. /C. Swai, Elder
Jesus desires that we follow Him. Yesu anapenda tumfuate yeye. /Pastor J Mlaki
We need to respond to the call of God seeking the lost. Tunahitaji kuitikia wito wa Mungu kutafuta waliopotea. /Pastor J Mlaki.
Are you sure that the vine you are connected in is the proper one? Una hakika umeunganishwa na mzabibu wa kweli? / Pastor J. Mlaki
Jesus Christ has pronounced us redeemed by His own, precious blood. Yesu Kristo ametuhakikishia ukombozi kwa damu yake ya thamani. ../Pastor J. Mlaki
Je, unamtumikia Mungu kweli bila kuchanganya na ‘miungu’ wengine. Are you truly serving God without mixing with Him other ‘gods’. /C. Swai, Elder
Tujione maskini kwa  maana ya kwamba tunamhitaji Yesu Kristo wakati wote. Let us see ourselves as poor in the sense that we need Jesus Christ all the time. /Heri Buberwa
Mungu anapenda wale wanaomcha, na huwabariki. God loves those who fear Him, and blesses them. /Heri Buberwa