Daily Words
Mpende adui yako. Love your enemy. /Heri Buberwa
Tutoe mali zetu kwa ajili ya maskini, huo ndio upendo kwa jirani. Let us give our wealth to the poor, that is love for our neighbour. /Heri Buberwa
Tuwapende jirani zetu. Let's love our neighbours. /Heri Buberwa
Maneno yetu yawe ya kutufanya tuishi pamoja kwa amani na upendo. May our words make us live together in love and harmony. /Heri Buberwa
Usiruhusu ulimi wako utumike kumkosea Mungu. Do not let your tongue be used against God./ Heri Buberwa
Matumizi mabaya ya ulimi ni chukizo mbele za Bwana. The misuse of the tongue is an abomination to the Lord. /Heri Buberwa
Tuutumie ulimi kutangaza habari njema za wokovu kwa wote. Use the tongue to proclaim the good news of salvation to all. /Heri Buberwa
Tusiwe watu wa kujipendekeza. We should not be people of false pretense. / Heri Buberwa.
Neno la Mungu linatufunza kunena kwa hekima. God's Word teaches us to speak wisely. /Heri Buberwa.
Tuwe wanyenyekevu pale tunapokosea. Let's be humble when we are wrong. /Heri Buberwa
