VIDEOS

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL

Hii hapa Ratiba Kamili ya Ibada za Kipindi cha Sikukuu ya Pasaka 2026.

Usikose kuungana nasi kwenye Nyumba ya Bwana kusherehekea wiki hii takatifu.