VIDEOS

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL

Hii hapa ni Ratiba ya Ibada za Pasaka 2024 zitakazofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.

MUHIMU: Ibada zote zitakuwa zinarushwa LIVE kupitia Channel ya YouTube: Azania Front TV: https://www.youtube.com/@AzaniaFrontTv/featured

Karibu Tumtukuze Mungu Wetu Katika Sikukuu Hii ya Pasaka 2024!